# yaliyo mabaya machoni pa Bwana "machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani # Bwana akampa Egloni mfalme wa Moabu nguvu "Bwana akamfanya Elgoni mfalme wa Moabu kuwa na nguvu" # Egloni mfalme wa Moabu, kuwashinda Waisraeli "Egloni mfalme wa Moabu" inawakilisha jeshi lake. "Egloni mfalme wa Moabu na askari wake wakavamia jeshi la Israeli" # Egloni Hili ni jina la mfalme. # mji wa Mitende. Hili ni jina lingine la mji wa Yeriko. # Miaka kumi na nane "miaka 18"