sw_tn/jas/05/13.md

16 lines
533 B
Markdown

# Kuna yeyote miongoni mwenu ana mateso? Lazima aombe
"Kama kuna mtu yeyote anapata mateso yampasa kuomba"
# Je, mtu yeyote ni mwenye kuchangamka? Na aimbe sifa
"Mtu yeyote akiwa na furaha, yampasa aimbe nyimbo za kusifu"
# Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Na aite
"Mtu yeyote akiwa mgonjwa na aite watu"
# maombi ya imani yatamponya mgonjwa, na Bwana atamwinua
Mwamini akimuombea mgonjwa, Mungu atasikia maombi yake na kumponya mtu huyo. "Mungu atasikia maombi ya mwamini aombapo kwa imbani na kumponya mgonjwa.