sw_tn/jas/04/06.md

36 lines
507 B
Markdown

# Lakini Mungu hutoa neema zaidi
"Japokuwa nafsi zetu hutamani tusivyoweza kuvipata, Mungu atatupa zaidi neema, tukijinyenyekeza wenyewe"
# Hutoa neema zaidi
Neema imezungumzwa kama kitu kinachoweza kutolewa.
# Kiburi
"mtu mwenye kiburi"
# nyenyekea
"mtu mnyenyekevu"
# Hivyo
"Kwa sababu hii"
# Jitoeni kwa Mungu
"mtii Mungu"
# Mpingeni ibilisi
"mpingine ibilisi" au "Msifanye mambo ambayo ibilisi anawaambia mfanye"
# atakimbia
"atakimbia mbali"
# ninyi
Hii inamaanisha hadhira ya Yakobo.