forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
751 B
Markdown
20 lines
751 B
Markdown
# Nani miongoni mwenu ana hekima na ufahamu? Haya mtu huyo.
|
|
|
|
Yakobo anatumia swali hili kufundisha wasikilizaji wake kuhusu tabia ya unyofu. Maneno " hekima" na "ufahamu" ki-msingi yana maana ileile. "Mtu ambaye ana fikiri kuwa ana hekima sharti"
|
|
|
|
# Onesha maisha mema.
|
|
|
|
"Onesha tabia njema" au "Ioneshe"
|
|
|
|
# Kwa matendo yake katika unyenyekevu ambao unatoka katika hekima.
|
|
|
|
"Pamoja na matendo yake mema na unyenyekevu ambao hutokana na kuwa na hekima ya kweli."
|
|
|
|
# Kuwa na wivu mkali na nia ya ubinafsi katika mioyo yenu.
|
|
|
|
Neno "moyo" hapa lina maana ya jaziba au fikra. "Hutapenda kushiriki jambo na wengine na daima unajiweka mwenyewe katika nafasi ya kwanza."
|
|
|
|
# Usijiinue na kuwa kinyume na ukweli.
|
|
|
|
"Usiseme uongo na kujifanya kama una hekima."
|