forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
690 B
Markdown
16 lines
690 B
Markdown
# Usemi unaounganisha.
|
|
|
|
Baada ya kuweka mkazo kwamba maneno ya waumini hayatakiwi kuwa ya baraka na laana, Yakobo anatoa mifano ya kufundisha wasomaji wake kuwa watu wanamheshimu Mungu kwa kuishi katika njia sahihi.
|
|
|
|
# Je, chemchemi moja hutoa maji matamu na machungu?
|
|
|
|
Yakobo anatumia swali lisilodai jibu kuwafundisha wasomaji kuhusu sanjari ya mpangilio wa maumbile. "Chemchemi moja haitoi maji matamu na machungu."
|
|
|
|
# Ndugu.
|
|
|
|
"Waumini wezangu"
|
|
|
|
# Je,mti wa mtini huzaa mizeituni, au mzabibu huzaa matunda ya mtini?
|
|
|
|
Yakobo anatumia neno la picha ya umbo kuwafundisha wasomaji kuhusu sanjari ya mpangilio wamaumbile. "Mtini hauwezi kuzaa mzeituni, wala mzabibu hauzai matunda ya mtini"
|