forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
901 B
Markdown
32 lines
901 B
Markdown
# Litiini neno
|
|
|
|
Wanapaswa kutii amri zilizoamriwa na Mungu.
|
|
|
|
# Mkijidanganya wenyewe
|
|
|
|
"mnajidanganya wenyewe
|
|
|
|
# Kwa kuwa kama yeyote alisikiaye neno bila kulitendea kazi ni sawa na mtu ajiangaliaye uso wake halisi katika kioo.
|
|
|
|
Mtu anayesikiliza maneno ya Mungu lakini hayatii anafananishwa na mtu anayejiangalia kwenye kioo na baadae anasahau muonekano wake.
|
|
|
|
# uso wake halisi
|
|
|
|
Uso wake kama ulivyo.
|
|
|
|
# Hujitathmini uso wake na baada ya mda mfupi husahau
|
|
|
|
Mtu anayejiangalia uso wake na baadae akasahau muonekano wake ni sawa na mtu aliyesikia neno la Mungu na kusahau alichosikia.
|
|
|
|
# mtu yule anayeiangalia kwa uangalifu sheria kamili.
|
|
|
|
Hii inaendelea kuelezea picha ya sheria kama kioo.
|
|
|
|
# Sheria kamili ya uhuru
|
|
|
|
"sheria kamili inayoruhusu watu kuwa huru"
|
|
|
|
# Mtu huyu atabarikiwa katika utendaji wake.
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezewa katika hali ya kutenda "Mungu atambariki huyu mtu kama akiitii sheria"
|