sw_tn/isa/66/15.md

20 lines
525 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza kwa watu waaminifu wa Mungu.
# anakuja na moto
Yahwe kuonekana katika Agano la Kale mara kwa mara huunganishwa na moto ambao huwakilisha hasira ya Yahwe na hukumu.
# kama dhoruba ya upepo
Dhoruba inawakilisha matendo yenye nguvu ya Yahwe ya kufanya hukumu yake kuwa na manufaa.
# kwa upanga wake
"Upanga" ni silaha ambayo inawakilisha vita zote na mauaji.
# Wale watakaouawa na Yahwe watakuwa wengi
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe ataua watu wengi"