# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza kwa watu waaminifu wa Mungu. # anakuja na moto Yahwe kuonekana katika Agano la Kale mara kwa mara huunganishwa na moto ambao huwakilisha hasira ya Yahwe na hukumu. # kama dhoruba ya upepo Dhoruba inawakilisha matendo yenye nguvu ya Yahwe ya kufanya hukumu yake kuwa na manufaa. # kwa upanga wake "Upanga" ni silaha ambayo inawakilisha vita zote na mauaji. # Wale watakaouawa na Yahwe watakuwa wengi Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe ataua watu wengi"