sw_tn/isa/65/22.md

12 lines
393 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya watu wake waaminifu.
# kama itakavyokuwa siku za miti ndivyo zitakuwa siku za watu wangu
"Siku" ina maana ya urefu wa maisha yao. "kwa maana watu wangu wataishi kwa urefu kama miti inavyoishi"
# wao ni watoto wa wale waliobarikiwa na Yahwe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "wao ni watoto wa wale ambao Yahwe amewabariki"