sw_tn/isa/65/13.md

16 lines
496 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa wale wa Israeli ambao huabudu sanamu.
# Tazama, watumishi wangu
"Tambua na zingatia kwa makini" Yahwe anarudia hili kwa ajili msisitizo.
# lakini utalia kwa sabubu ya maumivu ya moyo, na utaomboleza kwa sababu ya kupondwa kwa roho
Vishazi hivi vina maana moja na marudio ni kwa ajili ya msisitizo.
# kupondwa kwa roho
Msemo huu unalinganisha hisia ya kuvunjwa moyo sana na majonzi kwa kitu kuharibika umbo kwa sababu ya shinikizo la juu.