sw_tn/isa/65/11.md

20 lines
475 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# mlima mtakatifu
"Mlima mtakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu. "katika mlima mtakatifu wote wa Yahwe"
# ambao huandaa meza ... na kujaza vikombe vya divai kwa divai iliyochanganywa
Watu huleta chakula na kinywaji na kuviweka mbele ya sanamu kama sehemu za ibaada yao.
# divai iliyochanganywa
divai iliyochanganywa na viungo
# Bahati ... Hatma
Haya ni majina ya miungu ya uongo. Pia wanaitwa "Gadi" na "Meni".