sw_tn/isa/65/05.md

12 lines
353 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli n kuhusu wao.
# Mambo haya ni moshi puani mwangu
Yahwe analinganisha watu hawa ambao wanaendelea kumuudhi kwa moshi unaosumbua kupumua kwa mtu.
# moto unaowaka siku nzima
Yahwe analinganisha watu wa Israeli kwa moto unaowaka taratibu ambao hutuma moshi bila kukoma huku ikisumbua.