# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli n kuhusu wao. # Mambo haya ni moshi puani mwangu Yahwe analinganisha watu hawa ambao wanaendelea kumuudhi kwa moshi unaosumbua kupumua kwa mtu. # moto unaowaka siku nzima Yahwe analinganisha watu wa Israeli kwa moto unaowaka taratibu ambao hutuma moshi bila kukoma huku ikisumbua.