forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
658 B
Markdown
16 lines
658 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza.
|
|
|
|
# Iko wapi ari yako na matendo yako makuu?
|
|
|
|
Mwandishi anatumia swali kuonyesha hisia za ndani na kujali kwa sababu inaonekaba Mungu hawasaidii. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hatuoni ari yako na matendo yako makuu!"
|
|
|
|
# Huruma yako na matendo yako ya upole yamewekwa kutoka kwetu
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Unaficha huruma yako na upole kutoka kwetu"
|
|
|
|
# ingawa Abrahamu hatujui, na Israeli hatutambui
|
|
|
|
Mababu hawa wa taifa la Israeli wasingeweza kutambua vizazi vyao kwa sababu walibadilika sana. "Abrahamu" na "Israeli" wanawakilisha wakati wa zamani.
|