sw_tn/isa/63/05.md

16 lines
376 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# lakini mkono wangu wenyewe
Hapa "mkono" unawakilisha uwezo.
# na kuwafanya walewe katika hasira yangu
Hii ina maana Yahwe aliwafanya washangae na kutokuwa na ufahamu wa hasira yake kamili na adhabu.
# nilimwaga nje damu yao
Hapa "damu" inawakilisha maisha ya adui wa Yahwe ambao walikuw wakimwagika nje ili waweze kufa.