# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # lakini mkono wangu wenyewe Hapa "mkono" unawakilisha uwezo. # na kuwafanya walewe katika hasira yangu Hii ina maana Yahwe aliwafanya washangae na kutokuwa na ufahamu wa hasira yake kamili na adhabu. # nilimwaga nje damu yao Hapa "damu" inawakilisha maisha ya adui wa Yahwe ambao walikuw wakimwagika nje ili waweze kufa.