sw_tn/isa/62/06.md

16 lines
461 B
Markdown

# Nimeweka
Hapa "Nimeweka" inaweza kumaanisha Isaya au Yahwe.
# walinzi katika kuta zako
Hii ina maana ya manabii, maafisa, au yawezekana malaika, ambao wanaomba kila wakati kwa ajili y watu wa Yerusalemu kama walinzi ambao hulinda mji kila wakati.
# hawako kimya mchana na usiku
Hii ina maana wanamsihi Yahwe kwa muendelezo au kujia wao kwa wao. "wanaomba kwa dhati kwa Yahwe katika siku nzima"
# Usimruhusu apumzike
Hapa "apumzike" ina maana ya Yahwe.