# Nimeweka Hapa "Nimeweka" inaweza kumaanisha Isaya au Yahwe. # walinzi katika kuta zako Hii ina maana ya manabii, maafisa, au yawezekana malaika, ambao wanaomba kila wakati kwa ajili y watu wa Yerusalemu kama walinzi ambao hulinda mji kila wakati. # hawako kimya mchana na usiku Hii ina maana wanamsihi Yahwe kwa muendelezo au kujia wao kwa wao. "wanaomba kwa dhati kwa Yahwe katika siku nzima" # Usimruhusu apumzike Hapa "apumzike" ina maana ya Yahwe.