sw_tn/isa/61/01.md

12 lines
433 B
Markdown

# Roho wa Bwana Yahwe yupo juu yangu
"Roho" hapa ni Roho Mtakatifu wa Yahwe ambaye humsukuma au kuhamasisha mtu.
# walioteswa
Hii ina maana ya watu maskiniu, wale walio ndani ya huzuni kubwa, au watu walioteswa ambao wana matatizo wanaoshindwa kuyatatua wao wenyewe.
# uhuru kwa wafungwa, na kufungua kwa gerez kwa wale waliofungwa
Misemo hii miwili ina maana moja. Inasema ya kwamba Mungu kwa hakika atatoa uhuru kwa wafungwa.