# Roho wa Bwana Yahwe yupo juu yangu "Roho" hapa ni Roho Mtakatifu wa Yahwe ambaye humsukuma au kuhamasisha mtu. # walioteswa Hii ina maana ya watu maskiniu, wale walio ndani ya huzuni kubwa, au watu walioteswa ambao wana matatizo wanaoshindwa kuyatatua wao wenyewe. # uhuru kwa wafungwa, na kufungua kwa gerez kwa wale waliofungwa Misemo hii miwili ina maana moja. Inasema ya kwamba Mungu kwa hakika atatoa uhuru kwa wafungwa.