sw_tn/isa/60/19.md

12 lines
364 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# kwa maana Yahwe atakuwa nuru yako ya mlele
Mistari miwili inarudia wazo hili moja kwa msisitizo.
# Jua lako halitazama tena, wala mwezi wako hautaondoka na kupotea
Mwezi hautapotelea kihalisia. Hii ni kusema ya kwamba kulinganisha na mwanga wa Yahwe, mwanga wa jua na mwezi hautakuwa kitu.