sw_tn/isa/60/15.md

20 lines
466 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# bila mtu yeyote anayepi katikati yako
"na kila mtu akiepuka nchi yako" au "na kila mgeni akiepuka nchi yako"
# Pia utakunywa maziwa ya mataifa, na utanyonya katika ziwa la wafalme
Hii ina maana ya utajiri na wing ambao utanyonywa kutoka kwa mataifa ya kigeni. Vishazi vyote vinarudia wazo moja kwa msisitizo.
# Mkombozi
Mkombozi wa Israeli.
# Mwenye enzi wa Yakobo
Mwenye enzi wa Israeli