sw_tn/isa/60/08.md

24 lines
778 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Hawa ni kina nani wanaopaa kama wingu, na kama njiwa katika makazi yao?
Yahwe anatumia maswali na picha za kishairi kuvuta nadhari hapa. Analinganisha matanga ya meli kwa mawingu na njiwa. Hii pia ni taswira ya Waisraeli kurudi katika nchi ambapo wanaishi. "Tazama, ninaona kitu kama mawingu yakisogea haraka na kama njiwa wakirudi katika makazi yao"
# Pwani
Hii ina maana ya watu ambao wanaishi katika pwani na inafafanua eneo la pwani kana kwamba ilikuwa watu wakiangalia nje. "Watu kutoka pwani"
# meli za Tarshishi
Msemo huu kawaida una maana ya meli kubwa za biashara zinazofaa kwa safari ndefu.
# Mtakatifu wa Israeli
Mtakatifu wa Israeli
# amekuheshimu
"Yahwe amekuheshimu, watu wa Israeli"