sw_tn/isa/60/06.md

24 lines
523 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# ngamia
"ngamia wadogo"
# Efa ... Kedari ... Nebayothi
Haya ni majina ya maeneo ya Uarabuni.
# Makundi yote ya Kedari yatakusanywa pamoja kwako
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu wa Kedari watakusanya makundi yao kwa ajilii yako"
# kondoo wa Nebayothi watatumikia mahitaji yako
Hii ina maana ya hitaji lao la kutoa sadaka.
# watakuwa sadaka inayokubalika juu ya madhabahu yangu
Mimi, Yahwe, nitazipokea juu ya madhabahu yangu"