# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # ngamia "ngamia wadogo" # Efa ... Kedari ... Nebayothi Haya ni majina ya maeneo ya Uarabuni. # Makundi yote ya Kedari yatakusanywa pamoja kwako Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu wa Kedari watakusanya makundi yao kwa ajilii yako" # kondoo wa Nebayothi watatumikia mahitaji yako Hii ina maana ya hitaji lao la kutoa sadaka. # watakuwa sadaka inayokubalika juu ya madhabahu yangu Mimi, Yahwe, nitazipokea juu ya madhabahu yangu"