sw_tn/isa/59/01.md

16 lines
456 B
Markdown

# Tazama
"Tazama!" "Unapaswa kujua!" Yahwe anawaambia watu kuzangatia kwa makini.
# Mkono wa Yahwe sio mfupi sana
"Mkono" unawakilisha nguvu na uwezo. "Mkono mfupi hauna nguvu na uwezo. "Yahwe anaweza kabisa"
# yako ...yamekutenga
Viwakilishi hivi vya wingi vina maana ya watu wa Israeli kama kundi moja.
# dhambi zako zimemfanya afiche uso wake kwako
"Uso" unawakilisha kuwepo sasa na kutazama juu ya. "dhambi zako zimekufanya ugeuke kutoka kwako"