# Tazama "Tazama!" "Unapaswa kujua!" Yahwe anawaambia watu kuzangatia kwa makini. # Mkono wa Yahwe sio mfupi sana "Mkono" unawakilisha nguvu na uwezo. "Mkono mfupi hauna nguvu na uwezo. "Yahwe anaweza kabisa" # yako ...yamekutenga Viwakilishi hivi vya wingi vina maana ya watu wa Israeli kama kundi moja. # dhambi zako zimemfanya afiche uso wake kwako "Uso" unawakilisha kuwepo sasa na kutazama juu ya. "dhambi zako zimekufanya ugeuke kutoka kwako"