|
# Inua sauti yako kama tarumbeta
|
|
|
|
Hii ina maana kupiga kelele kwa sauti. Hapa "yako" ina maana ya Isaya.
|
|
|
|
# Wakabili watu wangu kwa uasi wao, na nyumba ya Yakobo kwa dhambi zao
|
|
|
|
Misemo hii miwili ina maana moja. Kwa pamoja wanaimarisha uharaka kukabili watu wa Yahwe.
|