# Inua sauti yako kama tarumbeta Hii ina maana kupiga kelele kwa sauti. Hapa "yako" ina maana ya Isaya. # Wakabili watu wangu kwa uasi wao, na nyumba ya Yakobo kwa dhambi zao Misemo hii miwili ina maana moja. Kwa pamoja wanaimarisha uharaka kukabili watu wa Yahwe.