sw_tn/isa/57/01.md

20 lines
538 B
Markdown

# watu wa agano la uaminifu
"watu ambao wana haki na kushika sheria ya Mungu" au "watu ambao ni waaminifu kwa Mungu"
# wanakusanywa mbali ... wanapumzika katika vitanda vyao
Zote hizi zina maana ya kufa.
# ya kwamba mwenye haki anakusanywa mbali kutoka katika uovu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ya kwamba watu wenye haki hufa, na Yahwe huwachukua mbali kutoka kwa chote kilicho kiovu"
# Anainga katika amani
"Wenye haki huingia katika amani"
# wale wanaotembea katika unyofu
"wale ambao wamefanya kilicho sahihi"