# Muhtasari wa Jumla
Yahwe anaendelea kufafanua viongozi waovu wa watu wake.
# Mbwa wana hamu kubwa ya kula
Yahwe anaendelea kulinganisha viongozi wabaya wa Israeli na mbwa.