# Muhtasari wa Jumla Yahwe anaendelea kufafanua viongozi waovu wa watu wake. # Mbwa wana hamu kubwa ya kula Yahwe anaendelea kulinganisha viongozi wabaya wa Israeli na mbwa.