sw_tn/isa/56/01.md

12 lines
457 B
Markdown

# kwa maana wokovu wangu upo karibu, na haki yangu inakaribia kufunuliwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hivi punde nitakuokoa na kukuonyesha ya kwamba nina haki"
# ambaye anaishikilia kwa nguvu
Hapa "anaishikilia kwa nguvu" ni lahaja ambayo ina maana ya kuendelea kuchunguza kitu. "ambaye ni mwangalifu kuendelea kufanya hivi"
# kuzuia mkono wake kufanya uovu wowote
Hapa "mkono" ina maana ya matendo ya mtu au tabia. "hafanyi mambo maovu"