# kwa maana wokovu wangu upo karibu, na haki yangu inakaribia kufunuliwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hivi punde nitakuokoa na kukuonyesha ya kwamba nina haki" # ambaye anaishikilia kwa nguvu Hapa "anaishikilia kwa nguvu" ni lahaja ambayo ina maana ya kuendelea kuchunguza kitu. "ambaye ni mwangalifu kuendelea kufanya hivi" # kuzuia mkono wake kufanya uovu wowote Hapa "mkono" ina maana ya matendo ya mtu au tabia. "hafanyi mambo maovu"