sw_tn/isa/55/06.md

24 lines
773 B
Markdown

# Mtafute Yahwe wakati bado anaweza kupatikana
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mtafute Yahwe wakati bado unaweza kumpata"
# Na muovu aache njia yake
Neno "muovu" una maana ya watu waovu. Yahwe anazungumzia watu waovu kutofanya dhambi tena kana kwamba walikuwa wakiacha kutembea katika njia ambayo walikuwa wakisafiria. "Na watu waovu wabadili namna wanavyoishi"
# na mwanamume wa dhambi mawazo yake
Kitenzi unaweza kutumika kutoka katika msemo uliopita. "na mwanamume mwenye dhambi aache mawazo yake"
# mawazo yake
Maana zaweza kuwa 1) "namna anavyofikiri" au 2) "mipango yake"
# naye atamhurumia
"na Yahwe atamhurumia"
# na kwa Mungu wetu
Kitenzi kinaweza kutumika kutoka kwa msemo wa kwanza katika sentensi hii. "na mruhusu arudi kwa Mungu wetu"