forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.2 KiB
Markdown
32 lines
1.2 KiB
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Isaya anaendelea kumfafanua mtumishi wa Yahwe.
|
|
|
|
# Kwa kuonewa na kuhumiwa alishutumiwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Walimtendea kwa ukatili, wakamhukumu, na wakamshutumu"
|
|
|
|
# kuonewa
|
|
|
|
Neno la Kiebrania linatafsiriiwa hapa kama "kuonewa" na baadhi ya tafsiri kama "kukamata". Kwa tafsiri hizi, wazo ni kuwa Mtumishii atakamatwa na kisha kuhukumiwa na kushutumiwa.
|
|
|
|
# nani kutoka kizazi hicho alimfikiria tena juu yake?
|
|
|
|
Swali hili linasisitiza ya kwamba hakuna mtu anayemfikiria. "hakuna mtu kutoka kizazii chake aliyejali nini kilitokea kwake" au "hakuna mtu kati ya walioishi naye walijali nini kilitokea kwake"
|
|
|
|
# nani kutoka kizazi hicho alimfikiria tena juu yake?
|
|
|
|
Tafsiri nyingi zinatafsiri sehemu hii kwa Kiebrania tofauti. "Nani anaweza kusema jambo juu ya uzao wake? au "Nani anaweza kusema kitu kuhusu hatma yake?"
|
|
|
|
# lakini aliondolewa kutoka katika nchi ya walio hai
|
|
|
|
"Kuondolewa" hapa ina maana ya kifo. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Lakini alikufa" au "Lakini kifo kikamchukua"
|
|
|
|
# ya watu wangu
|
|
|
|
"ya watu wa Israeli"
|
|
|
|
# wala hapakuwa na udanganyifu katika kinywa chake
|
|
|
|
"Kinywa" inawakilisha kile mtu anachosema. "wala hakumdanganya yeyote alipozungumza"
|