sw_tn/isa/52/07.md

20 lines
458 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Isaya anazungumza na watu wa Israeli
# Jinsi iliivyo mizuri juu ya milima ni miguu ya wajumbe wanaoleta habari njema
Hapa "miguu" inawakilisha mjumbe ambaye anatembea. "Ni vizuri kuona mjumbe akija juu ya milima kutangaza habari njema"
# kwa Sayuni
Hapa "Sayuni" inawakilisha watu wa Sayuni. "kwa watu wa Sayuni"
# paza sauti zao
Hii ni lahaja. "paza sauti"
# kila jicho lao
Hapa "macho" yanawakilisha mtu mzima. "kila mmoja wao"