# Maelezo ya Jumla Isaya anazungumza na watu wa Israeli # Jinsi iliivyo mizuri juu ya milima ni miguu ya wajumbe wanaoleta habari njema Hapa "miguu" inawakilisha mjumbe ambaye anatembea. "Ni vizuri kuona mjumbe akija juu ya milima kutangaza habari njema" # kwa Sayuni Hapa "Sayuni" inawakilisha watu wa Sayuni. "kwa watu wa Sayuni" # paza sauti zao Hii ni lahaja. "paza sauti" # kila jicho lao Hapa "macho" yanawakilisha mtu mzima. "kila mmoja wao"