sw_tn/isa/52/04.md

12 lines
356 B
Markdown

# Hapo mwanzo
Hapa "mwanzo" ina maana ya mwanzo wa historia ya Israeli walipoanza kuwa watu.
# walikwenda chini mpaka Misri
"walikwenda mpaka Misri". Ilikuwa kawaida kutumia msemo "kushuka chini" pale inapozungumziwa kusafiri kutoka Kaanani mpaka Misri.
# Ashuru imewakandamiza
Ashuru ina maana ya watu wa Ashuru. "watu wa Ashuru wamewatendea vibaya"