# Hapo mwanzo Hapa "mwanzo" ina maana ya mwanzo wa historia ya Israeli walipoanza kuwa watu. # walikwenda chini mpaka Misri "walikwenda mpaka Misri". Ilikuwa kawaida kutumia msemo "kushuka chini" pale inapozungumziwa kusafiri kutoka Kaanani mpaka Misri. # Ashuru imewakandamiza Ashuru ina maana ya watu wa Ashuru. "watu wa Ashuru wamewatendea vibaya"