forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.1 KiB
Markdown
32 lines
1.1 KiB
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Kwa nini mmemsahau Yahwe ... dunia?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kusisitiza ya kwamba hawatakiwi kumsahau Yahwe. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Haukutakiwa kuwa umemsahau Yahwe ... dunia"
|
|
|
|
# Muumba
|
|
|
|
Muumba wa mbingu na nchi
|
|
|
|
# aliyezinyosha mbingu
|
|
|
|
"aliyeinyosha anga". Hii inazungumzia Yahwe kuumba mbingu kana kwamba alikuwa amenyosha kwa njia moja anavyosha vazi kubwa. "ambaye alinyosha mbingu kama vazi"
|
|
|
|
# misingi ya dunia
|
|
|
|
Neno "msingi" kawaida lina maana ya maumbo ya mawe ambayo hutoa mhimili kwa jengo kutoka chini. Hapa inafafanua umbo linalofanana ambalo inasadikiwa kuwa mhimili na kushikilia dunia katika nafasi yake.
|
|
|
|
# ghadhabu ya moto ya mkandamizaji anapoamua kuangamiza
|
|
|
|
"ghadhabu ya moto ya mkandamizaji atakapoamua kusababisha uharibifu"
|
|
|
|
# ghadhabu ya moto
|
|
|
|
Hapa neno "moto" lina maana ya "imara" au "kuu". "ghadhabu kuu"
|
|
|
|
# Iko wapi ghadhabu ya mkandamizaji?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kusisitiza ya kwamba watu wanapaswa kutoogopa wale ambao wanataka kuwakandamiza. Wakandamzaji wao sio tishio kwao tena. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Ghadhabu ya mkandamizaji sio tishio"
|