sw_tn/isa/51/01.md

24 lines
777 B
Markdown

# Nisikilizeni mimi
Hapa neno "mimi" lina maana ya Yahwe.
# Utazameni mwamba ... na kwa machimbo
Kutazama kitu inawakilisha kufikiria juu yake. "ninafikiria juu ya mwamba ... na machimbo"
# mwamba ambao ulichongwa na kwa machimbo ambayo ulikatwa
Mungu anazungumza kuhusu taifa la Israeli kana kwamba lilikuwa jengo lililotengenezwa kwa mawe kana kwamba mababu zao walikuwa mwamba au machimbo ambayo Mungu aliwakata. Hi inaweza kuwekwa wazi. "mababu zako, ambao n kama mwamba ambao ulichongwa na machimbo ambayo ulikatwa"
# mwamba ambao ulichongwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "mwamba ambao nilikuchonga"
# ulichongwa
"kukata kwa patasi" au "kukata"
# machimbo ambayo ulikatwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "machimbo ambako nimekukata"