forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
696 B
Markdown
16 lines
696 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Mtumishi wa Yahwe anaendelea kuzungumza.
|
|
|
|
# Nani atakayenipinga? Tusimame ... Nani mshtaki wangu? Na aje
|
|
|
|
Mtumishi anatumia maswali haya kusisitiza uya kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kumshtaki kwa haki kwa ubaya. "Kama mtu yeyote anaweza kunipinga, tusimame ... Kama mtu yeyote atanipinga, na aje"
|
|
|
|
# Nani atanitamka kuwa na hatia?
|
|
|
|
Mtumishi anatumia swali hili kuweka uzito ya kwamba hakuna mtu wa kumtamka kuwa na hatia. "Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kunitamka kuwa na hatia"
|
|
|
|
# watachakaa kama nguo; nondo utawala
|
|
|
|
Kule ktokuwa na mtu aliyesalia kumshtaki mtumishi kwa kuwa na hatia inazungumziwa kana kwamba washtaki walikuwa nguo ambazo hupwaya na huliwa na nondo.
|