sw_tn/isa/48/20.md

12 lines
474 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# hadi kwenye mipaka ya dunia
Sehemu za dunia ambazo zipo mbali sana zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa sehemu ambapo dunia hufikia mwisho. Msemo huu pia huunda neno la kujumuisha maneno mengine na lina maana ya kila seheu katikati ya mipaka. "katika sehemu za mbali kabiisa za dunia" au "katika dunia yote"
# mtumishi wake Yakobo
Hii ina maana ya vizazi vya Yakobo. "watu wa Israeli, watumishi wake"