# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # hadi kwenye mipaka ya dunia Sehemu za dunia ambazo zipo mbali sana zinazungumziwa kana kwamba zilikuwa sehemu ambapo dunia hufikia mwisho. Msemo huu pia huunda neno la kujumuisha maneno mengine na lina maana ya kila seheu katikati ya mipaka. "katika sehemu za mbali kabiisa za dunia" au "katika dunia yote" # mtumishi wake Yakobo Hii ina maana ya vizazi vya Yakobo. "watu wa Israeli, watumishi wake"