sw_tn/isa/48/14.md

20 lines
567 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Nani kati yenu ametanganza mambo haya?
Yahwe anatumia swali kusisitiza ya kwamba sanamu hazijawaambia mambo haya. "Hakuna kat ya sanamu zenu zimesema haya kwenu"
# Mshirika wa Yahwe atatimiza kusudi lake dhidi ya Babeli. Atatekeleza mapenzi ya Yahwe dhidi ya Wakaldayo
Hapa "mshirika" ina maana ya Koreshi. Sentensi hizi mbili zina maana moja na zinatumika kwa ajili ya msisitizo.
# kusudi lake
"kusudi la Yahwe"
# Mimi, mimi
Neno "Mimi" linarudiwa kwa ajili ya msisitizo. "Mimi mwenyewe"