sw_tn/isa/46/12.md

12 lines
381 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# ambao wako mbali na kufanya kilicho sahihi
Yahwe anazungumzia watu kufanya mabaya kwa ukaidi kana kwamba walikuwa mbali kihalisia na kufanya kilicho chema.
# wokovu wangu hausubiri
Yahwe anazungumzia kuokoa watu wake mapema kana kwamba wokovu wake ulikuwa mtu ambaye hasubiri kutenda. "Sitasubiri kukuokoa"