# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # ambao wako mbali na kufanya kilicho sahihi Yahwe anazungumzia watu kufanya mabaya kwa ukaidi kana kwamba walikuwa mbali kihalisia na kufanya kilicho chema. # wokovu wangu hausubiri Yahwe anazungumzia kuokoa watu wake mapema kana kwamba wokovu wake ulikuwa mtu ambaye hasubiri kutenda. "Sitasubiri kukuokoa"