sw_tn/isa/46/01.md

20 lines
655 B
Markdown

# Beli anainama chini, Nebo anajishusha; sana zao ... kwa wanyama waliochoka kuishi
Isaya anazungumzia watu kuweka sanamu ya Beli na Nebo katika mkokoteni wa wanyama kusafirisha kana kwamba bidhaa hizi zilifanywa "kuinama chini" na "kujishusha". Hii yote ni mikao miwili ya kufedhehesha.
# Beli ... Nebo
Hawa walikuwa miungu miwili wa msingi ambao Wababeli waliwaabudu.
# sanamu zao
sanamu ambazo ziliakilisha Beli na Nebo
# hawawezi kuokoa sanamu
"Beli na Nebo hawawezi kuokoa sanamu zao"
# wao wenyewe wamekwenda katika kifungo
Isaya anazungumzia watu kubeba sanamu hizi kana kwamba miungu ya uongo ambayo inawakilisha inabebwa katika kifungo.