sw_tn/isa/44/20.md

12 lines
431 B
Markdown

# Ni kana kwamba alikuwa akila majivu
Yahwe anazungumzia mtu kuabudu sanamu kana kwamba mtu huyo alikuwa akila majivu yaliiyochomwa ya mbao kutoka pale alipotengenezea sanamu. Kama vile kula majivu haimpi mtu faida, wala kuabudu sanamu.
# moyo wake uliodanganywa humpotosha
Moyo unawakilisha undani wa mtu. "anajipotosha kwa sababu amedanganywa"
# Hawezi kujiokoa mwenyewe
"Mtu ambaye huabudu sanamu hawezi kujiokoa mwenyewe"